Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Upuuzi mtupu wachezaji wanafatiki kubwa ..mchezaji Hana stamini ratiba iangaliwe upya...ona wakina kwasi...wakina pacome kidogo chali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FT 2-1Umeisha??
Wamekutana na Ice cream zina baridi la kutosha 🤣🤣Leo wamejaribu kukoromea kwenye baridi kali na barafu imeshindikana.
Haaa haaaMajini sasa hivi swaumu kali yanashindwa kucheza
2-2 dk 98+FT 2-1
Azam na Man U wananipa sababu ya kumtukana bosi kesho bila uogaFT 2-1
Bado kipindi cha 3, lolote linawezekana.FT 2-1