FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

Je simba atamuweza yanga game ya pili?sio mnafurahi tu wakati hamna uwezo wa kumfunga Yanga.

Na je nani atatoa sare na Yanga?
 
Bora utopwinyo kafa leo haiwezekani ligi ya mtu mmoja ana shinda tu bila challenge yoyote.

Azam naye atarudi kulekule au ataendeleza moto wake ?
 
Sub za Gamond Leo zimefeli. Azam wamefaulu kuumiza wachezaji hatari Leo ili kushinda mchezo.

Hongera Azam ndiyo Mpira huo. Tusubiri mikia sasa.
 
Back
Top Bottom