black angel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2022
- 548
- 773
Yanga imetisha sana, yaani kutoka Utopolo to Makombe.Game imeisha Mumy.
Tumechukua ubingwa tena. πͺ
Ndege inatusubiriaNdio ndio. [emoji23][emoji23]
Kabisaaa kuna watu wamenuna huko[emoji3]Pole kikubwa tumetetea ubingwa [emoji172][emoji169]
Mkuu watakumbuka wenyewe. Waache. πMods malizeni mpira!!
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Wamejitahidi sana licha ya uchovu wa Sherehe kuzunguka Dar es salaam na ratiba kubana lakini wamefanikiwa kutwaa ubingwa mwingine .
Sisi Madundukaz sijui tushangilie kombe lipo mwaka huu.
Azam ni timu ya ajabu sana!Yusuf Bakhresa anafeli wapi kuiuza hii timu? Yanacheza kama majingamajinga.