black angel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2022
- 548
- 773
Ila nimekosa 5k kwenye ule uzii[emoji3][emoji3][emoji24][emoji24][emoji24]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga imetisha sana, yaani kutoka Utopolo to Makombe.Game imeisha Mumy.
Tumechukua ubingwa tena. 💪
Ndege inatusubiriaNdio ndio. [emoji23][emoji23]
Kabisaaa kuna watu wamenuna huko[emoji3]Pole kikubwa tumetetea ubingwa [emoji172][emoji169]
Mkuu watakumbuka wenyewe. Waache. 😂Mods malizeni mpira!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wamejitahidi sana licha ya uchovu wa Sherehe kuzunguka Dar es salaam na ratiba kubana lakini wamefanikiwa kutwaa ubingwa mwingine .
Sisi Madundukaz sijui tushangilie kombe lipo mwaka huu.
Azam ni timu ya ajabu sana!Yusuf Bakhresa anafeli wapi kuiuza hii timu? Yanacheza kama majingamajinga.