FT: Azam Sports Frederation Cup(FA): Azam Fc 0-1 Young Africans Sc | 12/06/2023 Mkwakwani Stadium Tanga

Hongera sana, wananchi juu miaka miwili tumekuwa timu bora sana, tumefurahia pamoja mwanzo mwisho.

Tunakwenda next season tukiwa na furaha isiyomithilika, ni matumaini yetu kuwq msimu ujao tunakwenda kuwa na msimu bora zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…