Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Wakikupiga mi simo Mzee Baba [emoji1787]Simba hata hili kombe wamekosaa. Sasa itakuaje na ndio furaha waliyokua wamebaki nayo
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakikupiga mi simo Mzee Baba [emoji1787]Simba hata hili kombe wamekosaa. Sasa itakuaje na ndio furaha waliyokua wamebaki nayo
Mbona unaandika huku unalia?Yusuf Bakhresa anafeli wapi kuiuza hii timu? Yanacheza kama majingamajinga.
Na Mayele hakuwepo🤣🤣🤣 Azam nao tuwaite timu dhaifu... au wamepewa bahasha
Mkuu watakumbuka wenyewe. Waache. 😂
Azam ni sawa na mtoto unayempa kila kitu mwisho wa siku anaishia kuwa chakula ya wahuni.
Ndege inatusubiria
Naskia leo ni urojo wa samaki na biriani
Ifikie hatua wakubali tu kuwa kwa sasa hivi Timu kubwa na bora ni Timu ya Wananchi.Kabisaaa kuna watu wamenuna huko[emoji3]
Ila Yanga pia ni Timu ngumu mkuu waulize hata AlgiersAzam ni sawa na mtoto unayempa kila kitu mwisho wa siku anaishia kuwa chakula ya wahuni.
Wanakera sana aisee. Namshangaa Yusuf sijui ana imani ya namna gani. Ningeshaiuza siku nyingi ningekua yeye.Azam ni timu ya ajabu sana!
Ina kila kitu ila matokeo 0
Vipi Kolo nae?Bila kusahau USM ALGER NI BINGWA
hivi hua wanakwama wap Timu ya tajiri ingetakiw ndo inasumbuaAzam ni timu ya ajabu sana!
Ina kila kitu ila matokeo 0
Haha au sio PhD mwenzanguMbona unaandika huku unalia?
Medals sio kwa kila mtuHongereni "MEDALI FC"
Inawezekana wachezaji wanaosajili na makocha piahivi hua wanakwama wap Timu ya tajiri ingetakiw ndo inasumbua