rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
Huyu kocha alikuwa analazimisha apewe mkataba kabla hata ya muda wake kuisha nibtapeli mmoja hivi.
Poor substution zimemkost
Poor substution zimemkost
Kweli wewe ni mwendawazimu inamaana wewe unaakili kuzidi bench la ufundi la Senegal waliokagomea ule uhuni?Wale wa Senegal Kwa nini hamjagomea na huko? 😂😂😂😂😂😂
Uhuni gani? Hao Senegal mapimbi tu, unaongoza goli mbili dakika za mwisho unashindwa shikilia bomba?Kweli wewe ni mwendawazimu inamaana wewe unaakili kuzidi bench la ufundi la Senegal waliokagomea ule uhuni?
Hata timu 8 ni nyingi sana, naona timu 6 zinaendana na uhalisia wa kiwango chetu kwa sasa! Tunisia, Algeria, Afrika ya kusini na Senegal hawakuwa kwenye kiwango cha dunia. Lakini pia Idadi ya nchi kwenye kombe ka dunia ipunguzwe tena hadi 32 kama mwanzo!Wakakabidhi Kombe Morocco na FIFA itoe nafasi 7-8 tuu Kwa Afrika sio kumi.
mimi nikimjibu huyo kuhusu Senegal kugomea mechi na morokoUhuni gani? Hao Senegal mapimbi tu, unaongoza goli mbili dakika za mwisho unashindwa shikilia bomba?