FT: Belgium 3-2 Senegal | World Cup 2026 | Lumen Field | 1 Julai, 2026 |5:00 Usiku

FT: Belgium 3-2 Senegal | World Cup 2026 | Lumen Field | 1 Julai, 2026 |5:00 Usiku

Ulishaona wapi, mchezaji wa Afrika atajituma kuifunga nchi ya Ulaya ambayo wao hao wachezaji wa kiafrika wanapata ugali wao.

Kitakachotokea ni kuchimbwq biti na kuuza match tu.

Hatuwalaumu wachezaji wa Senegal, bali tunawalaumu njaa zao.
 
Mtoto halali na pesa!! Senegal aliokota shilingi 2 lakini zote amezila!! Na sasa Ubelgiji wanapata penati dk ya 120 na wamepata goli!! Mtoto halali na pesa hata kama akipata pesa nyingi!
 
Hakuna fedheha kama hii kwa Afrika!! Timu inaongoza 2 kwa bila mpaka dk 86 halafu magoli yote mawili yanarudishwa ndani ya dk 3 na magoli yanakuwa mbili kwa mbili. Haya kwenye dk za nyongeza dk ya 120 tunasababisha penati na Ubelgiji wanapata goli la tatu!! Mtoto wa kiafrika halali na pesa!!
 
Back
Top Bottom