FT: Belgium 3-2 Senegal | World Cup 2026 | Lumen Field | 1 Julai, 2026 |5:00 Usiku

FT: Belgium 3-2 Senegal | World Cup 2026 | Lumen Field | 1 Julai, 2026 |5:00 Usiku

Huwa tunawaambia matatizo yetu ya timu za kiafrika but wengine hamuelewi, mechi ilipaswa kuwa laini Tu hii lakini Senegal wao wenyewe Kwa Makosa Yale Yale yaliyowatoa South Africa, Ivory Coast na Congo wamerudia tena...tukipata vigoli vyetu viwili vitatu basi tunapumzika, typically Tabia za kiafrika mtu akipata pesa ya Kula Leo na Kesho basi anaona kapatia maisha, njaa inapungua....Watu tulikuwa tushaenda kulala tayari.
 
Africa the problem remains the same, lack of concentration and nervousness these are what is costing them of victory and this way African sides apart from Morocco getting to the round of 16 will be just a miracle.
 
Watu wa Physical Education waingie kazini kuna research problem hapo ya kufanyia kazi kwa timu za Africa kwenye hii World Cup. Na baada ya huu upuuzi wote walofanya sasa ni wakati mwafaka wa kurudisha lile kombe la AFCON walilowadhulumu Morocco, tuliwatetea sana ila kwakweli hawastahili kumiliki ile ndoo
 
Back
Top Bottom