FT: Biashara 0 Simba 0

Sasa watamshtumu Aish Manula kuwa hasaidii kushambulia.
 
Hii Simba Sc ikitoboa msimu huu, utakuwa ni mwisho wa dunia.

Hivi kwanini watu tusikubali kwamba msimu huu hatuna team? Team imekuwa ya kipumbavu sana.

Niiteni utopolo,nitukaneni ila ukweli ndo huo.
Binafsi Sina imani na Simba hii ndio maana mechi ya leo sijaangalia kwenye Tv au kufuatilia kwenye redio na nina wasiwasi wakuangalia mechi Chache Sana msimu Huu za Simba.Ingawa ukiwa mkweli unaitwa utopolo lakini ukweli haujifichi Simba hii haivutii kuitazama.
 
Sijui pre season imetumika maana bado kocha ni kama anajaribisha wachezaji
 
dah! bundi karudi msimbazi, rasmi tumeanza kuishi kwa matumaini, ushindi kwetu sasa ni bahati nasibu, dah! inauma sana.
 
Kwakwel wengine hatuna Cha kusema kabisa, mechi tumeiona jinsi ilivyokua...
 
Wachezaji wakigeni

Sadio kanutte vema
Dancan Nyoni vema
Ausmane Sakho vema

Peter banda ni mzuri ila afya ndogo (less physic)
Inonga Baka ni mzuri ila afya ndogo (less physic)
Train on that, eat died food and participate in gym exercise

Wachezi wazawa.

Mhilu vema
Kibu Dennis vema
Isrel vema

Tuendelee kupambana.

Adhabu za Penati
Apige Erasto Nyoni au
Ausmane Sokho.

Problem
Uwanja Mbovu

Pongezi kwa Biashara United.
 
Au naye anapangiwa wachezaji
Kahere alitakiwa kutoka dakika hata ya 65 aingie Sakho nae ajaribu bahati yake
Pasi na cross zote ndefu zimeishia mikononi mwa kipa wa Biashara kuanzia kipindi Cha kwanza halafu wanarudi na plan ile ile ,Kuna wakati unaona mpira ukiwekwa chini na pasi wanatulia halafu wanarudi tena butua butua ,mipira mirefu kukimbizana mda wote hamna plan ya maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…