permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Sasa watamshtumu Aish Manula kuwa hasaidii kushambulia.Mechi iliyopita waliangusha gunia la lawama kwa Mugalu! Cha kushangaza leo Mugalu hajachezeshwa, lakini bado wanaruka ruka tu uwanjani.
Bila shaka watasingizia uwanja! Lakini kiukweli kwa simba hii, wasiposhika nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi msimu huu, sijui!!