FT: Biashara 0 Simba 0

Wanaweza wakapata goli wakipambana. Biashara wameshakubali
 
Mashabiki wa Simba ni vigeu geu sana. Mkiwekewa Mugalu mnamkataa bora Kagere, mkiwekewa Kagere mnamkataa bora Mugalu. Mimi naona bora kocha atengeneze mfumo wa mastraika watatu. Wote Mugalu,bocco na Kagere wacheze pamoja.
Utaambiwa timu inashambulia inasahau kuna kujilinda.
 
Kumbe Simba kuanzisha mpira wa faulo kwa haraka haraka ni sahihi, wameanzisha mpira wa haraka haraka wakati mwamuzi anajisachi kadi kumpa mchezaji wa Biashara. Lakini Biashara nao wameanzisha faulo ya haraka haraka lakini mwamuzi kaikataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…