FT: Biashara 0 Simba 0

FT: Biashara 0 Simba 0

Duh kweli Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu,huo uchawi ndio ulifunga goal na kuwazuia nyie msifunge?
Eti unamkumbuka yule shabiki aliyetupatia jina letu la Utopolo? Kwani uongo kusema kwamba bila uganga uto hana chochote kwa mnyama?
 
Gomez naamini maombi yake leo ni kagere asifanye vzr leo Coz his wish is to prove wrong mashabiki wa simba, makocha huwa wana wachezaji wao kichwani
Au Mugalu hayuko stable kisaikolojia

Kama binadamu matusi siku zote yanauma.
 
Au Mugalu hayuko stable kisaikolojia

Kama binadamu matusi siku zote yanauma.
Sema ile back 3 kule nyuma ya simba ni nidhamu ya uoga, pale unatia kiungo mwingine hasa Sakho, wale biashara mbona wanalegea wenyewe
 
Mashabiki wa Simba ni vigeu geu sana. Mkiwekewa Mugalu mnamkataa bora Kagere, mkiwekewa Kagere mnamkataa bora Mugalu. Mimi naona bora kocha atengeneze mfumo wa mastraika watatu. Wote Mugalu,bocco na Kagere wacheze pamoja.
ndo Wanafiki FC walivyo.
 
Sema ile back 3 kule nyuma ya simba ni nidhamu ya uoga, pale unatia kiungo mwingine hasa Sakho, wale biashara mbona wanalegea wenyewe
Kocha hana nia ya kucontrol midfield na kutengeneza chances kwa movements na through balls.

Gameplan yake ni kubutua mbele na kutegemea Bocco na Kagere watafanya miujiza
 
Back
Top Bottom