FT: Biashara 0 Simba 0

FT: Biashara 0 Simba 0

Centreback watatu na mastriker wawili??

Huyu kocha anataka tucheze long balls kama Burnley au?

Mafundi wakwapi? Biriani likwapi?

Mbona huyu kocha anadhihaki falsafa ya Simbalona ya 'the beatiful game'?
 
Centreback watatu na mastriker wawili??

Huyu kocha anataka tucheze long balls kama Burnley au?

Mafundi wakwapi? Biriani likwapi?

Mbona huyu kocha anadhihaki falsafa ya Simbalona ya 'the beatiful game'?
Mwalimu anachofanya ni kubadilisha kabisa style of play na utamaduni wa simba but let's wait, may be there's something special
 
Jamaa inasemekana chimbuko lake ni kama anatokea maeneo ya makambi ya wakimbizi au mpakani, hivyo uraia wake una walakini. Hivyo wanataka kujiridhisha kwanza juu ya hilo na kusiwe na utata wowote. Vinginevyo nchi inaweza kuingia kwenye kashfa kubwa si unajua tena haya mambo?

That's why wanataka ku clear kabisa
Amezaliwa Tanzania
 
Centreback watatu na mastriker wawili??

Huyu kocha anataka tucheze long balls kama Burnley au?

Mafundi wakwapi? Biriani likwapi?

Mbona huyu kocha anadhihaki falsafa ya Simbalona ya 'the beatiful game'?
Asee kwenye kiwanja hiki habari za biriani football hamna hapa zinasakwa point tu. Birian tusubir tukicheza mechi za nyumban
 
Mwalimu anachofanya ni kubadilisha kabisa style of play na utamaduni wa simba but let's wait, may be there's something special
DNA ya Simba ni attractive football.

Hata uchukue ligi bila kupoteza mchezo tutakukataa.

Huyu kocha anajichimbia kaburi kwa hii brand ya football
 
Back
Top Bottom