Mechi iliyopita waliangusha gunia la lawama kwa Mugalu! Cha kushangaza leo Mugalu hajachezeshwa, lakini bado wanaruka ruka tu uwanjani.simba imeisha aisee.
nimeshangaa sana.Kumbe Simba kuanzisha mpira wa faulo kwa haraka haraka ni sahihi, wameanzisha mpira wa haraka haraka wakati mwamuzi anajisachi kadi kumpa mchezaji wa Biashara. Lakini Biashara nao wameanzisha faulo ya haraka haraka lakini mwamuzi kaikataa
Tusijekosa tu
Points zinakuwa 3 either way.tungeshinda kwa goal
la kawaida mwee sio penalt
TuliaPenati janja janja.
mitopolo italakamika sanaSimba kafunga goli la lala salama