Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Mechi iliyopita waliangusha gunia la lawama kwa Mugalu! Cha kushangaza leo Mugalu hajachezeshwa, lakini bado wanaruka ruka tu uwanjani.simba imeisha aisee.
Bila shaka watasingizia uwanja! Lakini kiukweli kwa simba hii, wasiposhika nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi msimu huu, sijui!!