FT: Biashara 0 Simba 0

FT: Biashara 0 Simba 0

Na si mara ya kwanza bocco kukosea penati ,huwa anapaisha au anapiga haina nguvu ,aisee alipochukua mpira niliondoka maana nilijia atakosa tu halafu na ile presha ya kupata penat
Hata mimi niliwaambia wanzangu kuwa anakosa.
Anakimbiliaga sana penati.
Namwona Sakho kuwa mpigaji mzuri wa penati pia.
Ila anapokuwa Nyoni basi aachiwe hajawahi kukosa penati.
Boko katunyima point 2 muhimu sana.
 
Sasa hivi hata timu pinzani hazituogopi tena kwa kifupi hatuna madhara kihivyo kwa opponent wetu tumekuwa wa kawaida sana tumeshambuliwa na Biashara kama Average team muda wote unaweza kusema Biashara leo walikuwa wanacheza na Veterani Fc.
Sio hata msimu uliopita tuliwafunga kwa taabu sana.
Makosa yatarekebishwa tu
 
KIKOSI CHA SIMBA KINACHO AANZA LEO

28 MANULA
12 KAPOMBE
5 ISRAEL
26 KENNEDY
6 WAWA
29 INONGA
& BWALYA
18 NYONI
14 KAGERE
22 BOCCO (C)
24 DILUNGA

SUBS
KAKOLANYA: HUSSEIN. MZAMIRU.
SAKHO. BANDA. DUNCAN. MUGALU.
MHILU, JIMMYSON
Kakolanya atachoma mahindi mpaka muda wake uishe.
 
We jipe matumaini tu, subiri Yanga atuache hata point 6 health uone kama utampata tena .
Kwahyo?.inahusiana vipi na kuipenda Simba?.ifungwe ishuke daraja nitaendelea kuipenda
 
Kwahiyo unataka kusema msimu huu simba itashinda kwenye viwanja vya carpet tu au?
Timu ni nzuri tatizo lilikuwa ni uwanja tu.

Msimu uliopita tulipata goli moja la shida sana hapo Musoma na Biashara.

Hata leo tulikuwa na goli, Boko katoa Boko.

Ifikie mahali timu iwatambue wapiga penati mahili.

Kama Nyoni yupo na apige.

Boko ana kiherehere sana wakati sio mpigaji mzuri wa penati.
 
Kwahyo?.inahusiana vipi na kuipenda Simba?.ifungwe ishuke daraja nitaendelea kuipenda
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] We endelea kuipenda tu hakuna alikekuzuia [emoji12][emoji12][emoji14][emoji12].
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] We endelea kuipenda tu hakuna alikekuzuia [emoji12][emoji12][emoji14][emoji12].
Ndo hivyooooo naona ww ni kama manara moyo moyo upo simb maslahi yapo Yanga haahha
 
Kwahiyo unataka kusema msimu huu simba itashinda kwenye viwanja vya carpet tu au?
Timu ni nzuri tatizo lilikuwa ni uwanja tu.

Msimu uliopita tulipata goli moja la shida sana hapo Musoma na Biashara.

Hata leo tulikuwa na goli, Boko katoa Boko.

Ifikie mahali timu iwatambue wapiga penati mahili.

Kama Nyoni yupo na apige.

Boko ana kiherehere sana wakati sio mpigaji mzuri wa penati.
 
Hata mimi niliwaambia wanzangu kuwa anakosa.
Anakimbiliaga sana penati.
Namwona Sakho kuwa mpigaji mzuri wa penati pia.
Ila anapokuwa Nyoni basi aachiwe hajawahi kukosa penati.
Boko katunyima point 2 muhimu sana.
Nimecheka hapo uliposema, unamwona Sakho huwa ni mpiga penalty mzuri, ulimuona wapi au ndo zile story za kipa kudaka mishale?😂

Tusijikite kwenye matatizo madogo, yani sasahivi badala ya kulalamikia uchezaji wa team tunaanza kulalamikia kukosa penalty kwa Bocco, hivi seriously Simba Sc tumefikia hatua ya kuona penalty kama dhahabu kiasi hicho?
 
Hakuna timu isiyofungwa duniani! Man U kafungwa na Aston villa!! Man city kafungwa na west ham!! Si ajabu simba kutoka droo au kufungwa na timu yoyote inayoshiriki ligi kuu!! Japo kufungwa huko kutakuwa ni nadra na hakutazuia ku eba tena ndoo!!
 
Hatimaye Siku imefika, Siku Imewadia, Kwa Miamba Miwili Ya Soka Nchi Tanzania Ambayo Inawakilisha Nchi kwenye michuano Ya Kimataifa Kukutana kwa Mtanange wa Dakika 90+ Kwenye Kipute cha Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi Isiyo Na Mdhamini.

Bado Dakika 60 Game Kuanza huku, Mashabiki Wengi Wa Simba wakiwa Wanasubiri kwa hamu kuona kikosi cha Timu yao. Wengi wakitaka kujua Je Stiker Mugalu ataanzia Benchi Au Ataanza na Kikosi cha kwanza? Baada ya kukosa Nafasi nyingi Kwenye Mchezo uliopita na Mtani wa Jadi

Tuwe hapa kwa pamoja kwa Dakika 90 za Mchezo

Here we Go…

Naona pengo LA wachezaji wawili limeshindwa kuzibwa na watu kumi
 
Back
Top Bottom