"Refa usipulize kipenga Kroos atastaafu"Toni Kroos anastaafu na ubora wake, anapiga pasi ndefu za kugawa uwanja🔥🔥
Wekeni link chap kabla mpira hujaisha niangalie hapa
link
🤣🤣Vipi azam wanaonesha hii mechi??
Dakika ya 21 bila bilaNipe updates
Nafasi ya wazi Dortmund wamekosaNipe updates
Uchawi upo21’ Adeyemi akiwa amebaki na kipa anakosa goli
Alichukiwa Kolo Muani 2022 sembuse huyu dogo Karim.Hii nafai BvB hawaipatintena. Clear chance Adeyemi anaipoteza. Nitamchukia daima
Dortmund ni hatari sana... wamegongesha post tenaNipe updates