joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Dortmun wangkuwa na Striker mzuri wangekuwa wanaongoza moja au mbili. Sasa ngojea wakianza kuzipata Madrid... sizani kama watawakosa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wajerumani , miyeyusho sana .BVB wanakosa kitu kidogo tu kwenye umaliziaji maana sasa hivi wangekuwa 3-0
Yanakosaje nafasi za wazi kama hivyo ?BVB wanakosa kitu kidogo tu kwenye umaliziaji maana sasa hivi wangekuwa 3-0
Watajuta baadaeHawa wajerumani , miyeyusho sana .
Vini anapewa yellow card baada ya kumchezea sivyo kipa wa DortmundEwaaaaaa asante Sana Sana
MKUU HAUNA LINKToni Kroos anastaafu na ubora wake, anapiga pasi ndefu za kugawa uwanja🔥🔥
Missed chances za kukumbukwa sana ni ya Asamoah Gyan na Kolo Muani katika historia ya mpira wa miguuAlichukiwa Kolo Muani 2022 sembuse huyu dogo Karim.
Alichukiwa Southgate sembuse huyu
Alichukiwa Asamoah kwenye WC sembuse huyu