Heavy Metal
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 881
- 2,077
Ingekua ni dharau na fedheha kubwa sana kama hii ndoo ingeenda kwa hawa wazembe wazembe Dortmund
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Embu waulize sabb ni zipi aisee hii JF ya sasa ni kibokoMods hovyo kabisa, mmeachia uzi baada ya mechi kuisha
✔️✔️Hawa BVB wasipokuwa makini watakuja kulia mwishoni
Kwa kweliWapeni Arsenal hata moja sasa
Muda mchache ujao, saa 4:00 Dortumd watamenyana na Real Madrid katika dimba la Wembley pale London.
Ni fainal ya Uefa Champions League, karata yako unampa nani? Twende kazi…
Miongoni mwa wageni mashuhuri hapo Wembley ni msanii Jay ZView attachment 3006192
@Marco Polo ulisema plan ya Madrid haijaenda jinsi walivyopanga. Nilikujibu hivi..Subiri dk 90 zimalizike ndio utajua plan yao ilivyoenda
Vipi hujaiona kazi yao?Hawa Madrid wanapewa maji kwa kazi gani waliyofanya
Kwani kloop anaondoka LiverpoolMbona nimesikia song la liverpool you will never walk alone likipigwa hapo wembley? Wakati likipigwa wakawa wanamwonyesha Klopp akiimba.
Ataimiss sana liverpool
Kazi imeonekana kipindi cha piliVipi hujaiona kazi yao?
Ndio maana huwa tunasubiri dk 90 zitimie ndio tuone nani kashinda bila kujalisha kachezaje.Kazi imeonekana kipindi cha pili
Kashaondoka na Kocha mpya kashaanza kaziKwani kloop anaondoka Liverpool