GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Goooooooool
Bravos wanaingiza jegeje kwa nguvu bila kilainishi pale
Kolo 0
Bravos 1
Huyu Jamaa atuachie timu yet ujinga huu mpaka liniChe Malone unaniangusha sana
Tunaua leo🤓🤓
Tunajenga teamKolo msipokuwa makini hamfuzu
NakaziaMods ubao ibadilike tafadhari. Jamaa wameshaumia
WamenisikiaNakazia
Kujiamini kupita kiasi.Sehemu yeyote ambayo Simba inafanya uzembe lazima beki ihusike
Na bahati mbaya huyo beki amekuwa Che Malone kila siku
Hakika na wawe ontimeWamenisikia