FT: Bravos do Maquis 1-1 Simba SC | CAF Confederation Cup | Estadio 11 de Novembre | 12.01.2025

FT: Bravos do Maquis 1-1 Simba SC | CAF Confederation Cup | Estadio 11 de Novembre | 12.01.2025

Mechi ya tatu hii katika mechi za CAFCC ambazo Simba Sc imeadhibiwa kwa makosa binafsi ya Che Malone, magoli ya kipumbavu kabisa.

Jamaa huwa anaujinga mwingi sana pale nyuma pinapokuja swala la passing.
 
Back
Top Bottom