Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Duh!...nikisoma comment za aina hii naweweseka kweli kweli....ðŸ˜ðŸ˜Unadhani Mtani haya mambo sometimes ndo yapo hivyo yaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!...nikisoma comment za aina hii naweweseka kweli kweli....ðŸ˜ðŸ˜Unadhani Mtani haya mambo sometimes ndo yapo hivyo yaani
OkyFadlu huwa hafanyi mabadiliko ili kuongeza tija, bali huwa anapumzisha wachezaji.
We ungebakiWenye uzi wameutelekeza uzi wao
Wenye uzi wameutelekeza uzi wao
Kwahiyo ulitaka liende wapi?Debora anapiga shuti linaenda nje
sub za kiufund zinatoka wap kwa timu gonjwaMzito wa kufanya Sub za kiufundi
Zinatoka mashine zinaingia mashineBravos tunafanya sub hapa dakika ya 66
Relaaax mtani. Ndo kwanza dakika ya 66. 😀😀Duh!...nikisoma comment za aina hii naweweseka kweli kweli....ðŸ˜ðŸ˜
Kwani baunsa ateba si tulikubaliana anatosha?Simba itafutr hata striker wa mkopo tu popote duniani.
yaani waombe wachomoe wapate draw au washinde tofaut na hapo inakuwa ni kachumbali chachuKikokotoo kimehamia kwa simba sasa
Hiki ndiyo kitakuwa kisingizio match ikiishaAngelo wa Bravos ameingia amevaa kama anaenda ulingoni
Game ya mwisho wanacheza na vibonde.Msimamo mpaka sasaView attachment 3199987