FT: Bravos do Maquis 1-1 Simba SC | CAF Confederation Cup | Estadio 11 de Novembre | 12.01.2025

Simba inabidi icheze kwa tahadhali sana katika hizi dakika isizembee kama mwanzo
 
Simba waangalie sana faulu za uzembe golini, refa anaweza kutenga tu na asifanywe kitu.
 
Hahahaha wanamtukana refa tena matusi ya kiswahili wanajua hawaezi kusikia??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…