Thecoder
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,590
- 4,244
πππHapana.....tunataka goli jingine....π€£π€£π€£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππHapana.....tunataka goli jingine....π€£π€£π€£
Utapenda Saa nne utopolo akipigwa.Sijapenda ππππππππ
Mtoto mzuri kama wewe unakuwa na roho mbaya?πSijapenda ππππππππ
Usijali Mtani.Baadae msiliingize Taifa matopeni
Yaani. Hebu bravo wafanye jambo tena.Sijapenda ππππππππ
Chemalone nae ana mambo ya ajabu sana, mtu kachukua mpira na hayuko under pressure ila anatoa pass kwa adui.Bravos wanataka penati wapuuuzi hawa
Lakin hatuongozi.Hawa jamaa tumewazidi kila kitu... shots 25 vs 7, possession, pass accuracy,
Kwa hiyo inawezekana kushinda ?Hawa jamaa tumewazidi kila kitu... shots 25 vs 7, possession, pass accuracy,
wamechoka kinyamaTumepata goli la kusawazisha, tumepoa, badala ya kuongeza nguvu kupata la pili.
Yuko chini ya kiwango leoChemalone nae ana mambo ya ajabu sana, mtu kachukua mpira na hayuko under pressure ila anatoa pass kwa adui.
Anatutakia nini huyu mjinga.?