Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kwani bado zinapatikana?Tunakoelekea kuna watu watahitaji calculator na wao. 🤣🤣
Mi nafikiri zimeisha sokoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani bado zinapatikana?Tunakoelekea kuna watu watahitaji calculator na wao. 🤣🤣
Pipi pipi fyuuuuu[Manara]Mechi haijaisha hii
Tupambane kwanza na hali yetu mkuu...🦁🦁Wanangu wa Simba njooni tuanze kupiga jesabu kama watani
Leo vyura wanamaliza mahesabu wanaaga mashindano
Watafute calculator nzuri pamoja na four figure. hii mechi wanashinda...Simba wafanye nini kipindi cha pili ili waweze kupata matokeo?
Hawana cha kupoteza,wacheze mpira wao,liwalo na liwe,yaani wapishane nao tu.......haina haja ya sijui game plan wakati unaongozwaSimba wafanye nini kipindi cha pili ili waweze kupata matokeo?
Wanangu wa Simba njooni tuanze kupiga hesabu kama watani
Leo vyura wanamaliza mahesabu wanaaga mashindano
Poapoa ila nafasi bado tunayo ila tuwe seriousTupambane kwanza na hali yetu mkuu...🦁🦁
Tena???Ateba bure kabisaaaa
Matumaini yapo..... Insha-Allah mambo yatakaa sawa...😃😃We jitowe tu. 😅😅
Walikua busy na nyuzi za Al HilalWalete zile maneno zao za bado point moja sasa. 😅😅
Ndiyo, watuguse tu na penati patikane
Tupo hapaWanangu wa Simba njooni tuanze kupiga hesabu kama watani
Leo vyura wanamaliza mahesabu wanaaga mashindano
Tupo hapa View attachment 3199961Wanangu wa Simba njooni tuanze kupiga hesabu kama watani
Leo vyura wanamaliza mahesabu wanaaga mashindano
Kutoka kwenye ubaya ubwela hadi kwenye insha allahMatumaini yapo..... Insha-Allah mambo yatakaa sawa...😃😃
Hahahaa. Tutajua tu wakati ukifika.Kwani bado zinapatikana?
Mi nafikiri zimeisha sokoni