Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Mtani unaongea na simu ama? 😂😂Simba wafanye nini kipindi cha pili ili waweze kupata matokeo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtani unaongea na simu ama? 😂😂Simba wafanye nini kipindi cha pili ili waweze kupata matokeo?
Ateba funga funga 😁😁😁Ateba bure kabisaaaa
Huyu jamaa inatakiwa anyolewe kipara ili ajifunze.Che malone Mzinguaji sana.
Naongea na nyinyi ujue🤣🤣Mtani unaongea na simu ama? 😂😂
Hahahahaaa. Lol.Naongea na nyinyi ujue🤣🤣
Bravo ni watu wa dini, mambo ya kinyumenyume hawatoyaruhusu...KIpindi cha pili waingie kinyumenyume ile style yenu ya ulozi.
Labda aingie Mavambo atawasidia Makolo, maana kati kweupe kabisaPale kati Kagoma kapotea kabisa. Mtafuteni anayempoteza mumuchape viboko
Kiukweli nje ya utani wachezaji wenu waongeze utulivu.Naongea na nyinyi ujue🤣🤣
Kila mechi lazima atoe boko.Huyu Jamaa atuachie timu yet ujinga huu mpaka lini
Hili limeniumiza sanaaa
Nyie msije mkashenyentwa usiku🍾 🥂 Champagne anyone? 🤭🤭🤭🤭🤭🤭 Cheers 😁
Utopolo tulieni, nendeni kwenye uzi wenu. Huu uzi ni wa makolo. Kipindi cha pili makolo wanaweza pindua meza.KIpindi cha pili waingie kinyumenyume ile style yenu ya ulozi.
Huenda ikawasaidiaKIpindi cha pili waingie kinyumenyume ile style yenu ya ulozi.
Huyu atakuwa anampa hela kocha ili acheze sio bureKila mechi lazima atoe boko.
Mara nyingine wenzake wanafuta makosa yake.
Ajirekebishe, maana makosa yake ni yale yale ya siku zote