Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Sio leo tu, huyo jamaa kwenye swala la kukaba ni mzuri sana ila maamuzi yake baada ya kuchukua mpira ndio huwa ya kijinga SIKU ZOTE kwenye mechi nyingi.Yuko chini ya kiwango leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio leo tu, huyo jamaa kwenye swala la kukaba ni mzuri sana ila maamuzi yake baada ya kuchukua mpira ndio huwa ya kijinga SIKU ZOTE kwenye mechi nyingi.Yuko chini ya kiwango leo
Kalpana Mshana Jr Bill Mtoto halali na hela na wengine wote 😅😅😅😅😅Katika hao waliojificha bila kumsahau mwasibu. 😅😅
Unafanya nini hapa?mkuu naweza shabikia wagonjwa wenyewe tu hawazitak timu zao
Ushaanza mikimbio??Mkiongezwa la pili nitarudi..
Fadlu inabidi ampumzisheSio leo tu, huyo jamaa kwenye swala la kukaba ni mzuri sana ila maamuzi yake baada ya kuchukua mpira ndio huwa ya kijinga SIKU ZOTE kwenye mechi nyingi.
Nipe habari
kuna mama kwenye kundi kushinda mwarabu wa kundi lenuHaina mvuto kwasababu wakina mama wenye kuleta mvuto msimu huu hawajashiriki
Constantine, sio SimbaSimba wameogeza goal la pili..
Kwani wewe unatakaje?Sijapenda 🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
navuta muda kuwaona mabingwaUnafanya nini hapa?
Daah yaani kamlenga kipa kweli badala ya kupasia nyavu?? Fala gani huyoHapa tuliwakosa
View attachment 3200006
Apumzike yeye FadluFadlu inabidi ampumzishe