FT: Brazil 1-2 Norway | World Cup 2026 | MetLife Stadium | 5 Julai, 2026 |5:00 Usiku | Brazil yaaga mashindano

FT: Brazil 1-2 Norway | World Cup 2026 | MetLife Stadium | 5 Julai, 2026 |5:00 Usiku | Brazil yaaga mashindano

GOOAL Dakika ya 100'

VAR PENALTY'

BRAZIL 1 - 2 NORWAY

NEYMAR GOOOAL
 
Jamii forum tunatuma Kero lakin hadi leo No post instagram, Jamiiforum app, Facebook n.k
Au mnachambua vya kutuma??
 
Ni bora wametoka. Walikuwa wanaiwazia Argentina badala ya kuwaza game iliyopo mbele yao
 
Mpira umebadilika, kusema kweli Brazil Wana timu ya kawaida Sana, wao wanawazia legacy badala ya kujifikiria wao waliopo watafanya nini... Kiuchezaji Tu unaona timu Yao jinsi ilivyo, hata Magoli Yao kama ya kubahatisha hivi sometimes...
 
Ubishoo mwingi

Ova
Nawaonea huruma Misri hii gemu waliyopita kwa Australia hapa juzi kwa mikwaju ya penalties Misri ni mdebwedo balaa wakikutana na timu mpira kasi watachanika misamba balaa, gemu ya Cabe Verde waliyocheza na Argentina afadhari mpira kasi uliendana Misri naihurumia sana inaenda kuchapwa, naihurumia Misri inaenda kuchapwa na Argentina vibaya sana hii ndio mechi ambayo Messi anaweza akapiga hata harti-trick kabisa na mpira akaondoka nao
 
Back
Top Bottom