mwaibile
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 2,136
- 5,175
Ndo kumaanisha nnNasikia Haaland ni surrogate baby
Ndo kumaanisha nnNasikia Haaland ni surrogate baby
Yaani hana baba wala mama ni kwamba alitengenezwa maabaraFunguka zaidi 😄
Ova
😄 haya ila mpira mapharaho wanaweza wakafia uwanjani,team za north huko wakiamua kujitoa wanajitoa haswaNawaonea huruma Misri hii gemu waliyopita kwa Australia hapa juzi kwa mikwaju ya penalties Misri ni mdebwedo balaa wakikutana na timu mpira kasi watachanika misamba balaa, gemu ya Cabe Verde waliyocheza na Argentina afadhari mpira kasi uliendana Misri naihurumia sana inaenda kuchapwa, naihurumia Misri inaenda kuchapwa na Argentina vibaya sana hii ndio mechi ambayo Messi anaweza akapiga hata harti-trick kabisa na mpira akaondoka nao
Fuatilia dark sites utakutana na hicho kituNdo kumaanisha nn
😄 mbona mzee wake kila mechi yuko jukwani au ndiyoYaani hana baba wala mama ni kwamba alitengenezwa maabara
Ndo kumaanisha nn
Baba yake inge halland naye ashacheza mpiraYaani hana baba wala mama ni kwamba alitengenezwa maabara
Basi ni rumoursBaba yake inge halland naye ashacheza mpira
Ova
Surrogate haina maana hiyo. It means wazazi walikodisha mtu abebe mimba kwa niaba yao! Hiyo ndo maana ya surrogacyYaani hana baba wala mama ni kwamba alitengenezwa maabara
Wa maabara huwa anaitwajeSurrogate haina maana hiyo. It means wazazi walikodisha mtu abebe mimba kwa niaba yao! Hiyo ndo maana ya surrogacy
Sijui kwa uhakika wanaitwajeWa maabara huwa anaitwaje