FT: Brazil 1-2 Norway | World Cup 2026 | MetLife Stadium | 5 Julai, 2026 |5:00 Usiku | Brazil yaaga mashindano

πŸ˜„ haya ila mpira mapharaho wanaweza wakafia uwanjani,team za north huko wakiamua kujitoa wanajitoa haswa

Ova
 
Yaani hana baba wala mama ni kwamba alitengenezwa maabara
πŸ˜„ mbona mzee wake kila mechi yuko jukwani au ndiyo
Aliyemtengeneza πŸ˜„
Ukweli tu,wa Norway wakiamua kujitoa wanajitoa
Na mpira sahv ni nguvu,kasi
Ukileta ubishoo umepigwa
Uliona mtanange wa Mexico vs England πŸ˜„

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…