Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Unatarajiwa kuwa mchezo wa kuvutia zaidi katika hatua ya 32 bora kwenye Kombe la Dunia la 2026 unafanyika mjini Houston, ambapo mabingwa mara tano Brazil watachuana na Japan, timu ambayo haijawahi kushinda mchezo wowote wa hatua ya mtoano katika mashindano haya.
Baada ya kiwango kisichoridhisha katika mchezo wao wa kwanza, Brazil waliamka vizuri kwenye Kundi C, wakisajili ushindi mfululizo wa 3-0 dhidi ya Haiti na Scotland na kujihakikishia nafasi ya kwanza juu ya Morocco.
Japan, ambao wanatajwa sana kama timu ya kushtukiza (dark horses), wanakutana na mmoja wa timu inayopewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa licha ya wao kutopoteza mchezo wowote katika Kundi F (Ushindi 1, Droo 2). Sare yao ya 1-1 dhidi ya Sweden katika mchezo wa tatu iliwanyima vijana wa Hajime Moriyasu nafasi ya kuongoza kundi hilo.