FT: Brazil 2-1 Japan | World Cup 2026 | NRG Stadium | Juni 29, 2026 | 2:00 Usiku

Brazil wanacheza side ways pass kibao, wale Japan bado wapo kwenye shape Yao vile vile, nchi ya dunia ya Kwanza hata ikifungwa bado unawaona Wana kitu...Kama ukifuatilia Japan miaka hii ya karibui mechi zao zinakuwa ngumu Sana siyo mchekea kabisa maana system zao za makuzi ya kimpira na wachezaji wao ni Elites kabisa.
 
Japan sio miaka ya hivi karibuni tuu hata 2002 walipo andaa walikuwa wanaupiga mwingi tuu
 
101154.jpg
ngoja nimtafune kanji hela ya soup 🍲.
 
Back
Top Bottom