Pira samuraiAnceloti ambadilishe Casemiro.
Kipindi cha pili wanabidi wabadilike.Kashakalia tayari.
KIkosi hichi hata Oscar aliyeko jukwaani anaweza kuanza na kuwa msaadaBrazil ilikuwa enzi zile za akina Ronaldo De Lima, Ronaldinho, Cafu, Roberto Carlos, Rivaldo, Dida, nk. Moja ya timu bora kabisa ya Brazil kwa hii miaka ya karibuni.
Japan sio miaka ya hivi karibuni tuu hata 2002 walipo andaa walikuwa wanaupiga mwingi tuuBrazil wanacheza side ways pass kibao, wale Japan bado wapo kwenye shape Yao vile vile, nchi ya dunia ya Kwanza hata ikifungwa bado unawaona Wana kitu...Kama ukifuatilia Japan miaka hii ya karibui mechi zao zinakuwa ngumu Sana siyo mchekea kabisa maana system zao za makuzi ya kimpira na wachezaji wao ni Elites kabisa.
Bila shaka umeona msaada wakeMartinelli anakusaidia nini humu ndani. Anceloti atajuta