FT: CAF Champions League | Raja Casablanca 3-1 Simba S.C | Stade Muhammed V | 01.04.2023

FT: CAF Champions League | Raja Casablanca 3-1 Simba S.C | Stade Muhammed V | 01.04.2023

Nilisema huko juu, kosa moja hawa jamaa goli. Sijui huwa wanafundishwa vipi hata mara zote hufanya makosa yanayofanana.
 
All in all, waarabu wanacheza mpira wa kitabuni (akili), wakti sie tunacheza mpira wa mazoea ( kipaji), utoaji pasi zao na namna mpira wanavyoamua wao waupigeje ni ushahidi kuwa hawa jamaa wamekulia kwenye academy za mpira. Yaani wanafanya kwa kuamua iwapo mpira waupige diagonal au lah. Hatuwawezi.
 
Back
Top Bottom