FT: CAF Champions League | Raja Casablanca 3-1 Simba S.C | Stade Muhammed V | 01.04.2023

FT: CAF Champions League | Raja Casablanca 3-1 Simba S.C | Stade Muhammed V | 01.04.2023

Kadi ya kipuuzi sana hii kwa chama, thou kweli jamaa alipaswa kupewa yellow kwa kujiangusha. By the way, refa huyu ni kama mfalme Juha tu.
 
Hawa jamaa wepesi tu ila Simba anaogopa Bure .mi naona tupishane nao tu walitufunga fresh.
 
Kuna wachezaji Simba hawajajua kucheza na waarabu. Asee waarabu usipige chenga kwenye 18 yako, watakufunga
 
Hili goli babu Onyango ni kama alikuwa anasinzia
 
Back
Top Bottom