ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
Download DStv Now nikupe email na passwordMwenye Link aisee game za cAF kuzipata online ni taabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Download DStv Now nikupe email na passwordMwenye Link aisee game za cAF kuzipata online ni taabu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui nacheka nn
Kaka namie naomba kama nafasi ipoDownload DStv Now nikupe email na password
Kwamba walau tupate hata ON targetIla Saidio angetulia angeweza hata kupata goli au shot on target.
Yaan daaah[emoji23][emoji23]
Ni sawa Ila kuna kenge wengine hawaamini kabisa dk 30 ngoma ngumu..Hawa Kenge wanajua sana kufungua. Kosa moja goli wanatupiga
Yes.. sipendi mtu anapoteza mpira halafu kazi anawaachia wengine.Hii tabia ya forward wa Simba kusimama baada ya kupoteza mipira ni ya kifa.la sana. Baleke na Saidoo huo mchezo wanafanya Sana.