Mtu mmojaKuna mwarabu feki na mganda og hawa sio ndugu kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu mmojaKuna mwarabu feki na mganda og hawa sio ndugu kweli?
Nyinyi ni vilaza nini? Mnajadili fake I'd?Mtu mmoja
Jmn Kwa nn inachezwa saa saba?Ngoma saa saba usiku warabu wanavisa sana... Leo wachezaji wanaweza sinzia uwanjani!
Kwa bongo ndo saa saba,kwao ni saa nneJmn Kwa nn inachezwa saa saba?
Ili iwe rahisi kula dakuJmn Kwa nn inachezwa saa saba?
Wanajifanya hawajui km Leo Wanacheza[emoji1787][emoji1787]Hamsa hamsa tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na bahati mbaya, usiku wa deni haukawii kukucha....Wanajifanya hawajui km Leo Wanacheza[emoji1787][emoji1787]
ImNa bahati mbaya, usiku wa deni haukawii kukucha....
Baadae waliodhani wenzao wanauona mchungu, wao ndio watauona mchunguKuna watu wanauona huu Uzi mchungu kama nyongo[emoji1][emoji1][emoji1].
Raja Piga Hawa mbwa wa kariakoo goli kuanzia 6 na kuendelea
Leo mpepigwa na Horoya. Angalia utapata presha mkuuRaja Casablanca 9-0simba nimekaa paleeeee