black angel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2022
- 548
- 773
Ochieng ndiye kachoma..Inonga na mwenzie ochieng wamechoma..
Sijui ilikuaje pale akampisha mshambuliaji. Kaharibu kweli.Daah Onyango aisee
Inonga anakabia machoOchieng ndiye kachoma..
Ngoja tuone kipindi cha piliSijui ilikuaje pale akampisha mshambuliaji. Kaharibu kweli.
Hiyo ndio shida ya Kibu.. dakika 90 kwake huwa nyingi Sana.Mwanangu kibu anapiga sana kazi ila kashachoka sasa
Usilale my dear
Inonga kashidwa kukaba nje ya boxila onyango bhana