FT: CAF Champions League | Raja Casablanca 3-1 Simba S.C | Stade Muhammed V | 01.04.2023

Sijui akili za benchi la ufundi lakini kwa akili za mie shabiki, ningemuingiza Mwenda na Sakho na kuwatoa Nyoni na Saidoo. Then Kapombe angecheza Kati na Mwenda angecheza full back right.
 
Same mistake yataka ijirudie. Kwa kifupi akili za watu weupe karibia wote huwa hawakati tamaa kwenye jambo lolote lile. Ndo maana unaweza kuona mpira unataka kutoka ila wanauwahi. Negro mnakata tamaa haraka sana.
 
Nahisi mtu Huwa anakuwa tayari kesha jiamulia kabla kuwa nitashindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…