Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana miye kwenye mashindano ya Afrika,Huwa sishabiikii timu za chini ya Jangwa la SaharaYes, na hiyo ipo hadi kwenye maisha ya kawaida.
Kibu kacheza vizuri sana leo. Hii sub itatuabisha sasa hiviDk 75 Kibu out, Sahko in
Babu kwishaaa, Simba wamchukue Bacca wa Yanga.Wamepewa penati, Onyango
Basi inatosha, tuwashukuru wachezaji wetu, hatua hii wametufikisha hawa hawaKila siku nasema hapa, Onyango ana ubeki wa kizamani sana yaani modern football inamkataa kabisa.
Huyu ni wa kimtafutia bek mwingine wa kati kisha anakula benchi bila kumuonea aibu.
Mjunga sana huyu.
Alikuwa ametulia vzrKibu kacheza vizuri sana leo. Hii sub itatuabisha sasa hivi
Kwa kifupi sijaelewa kabisa. Saidoo ndio mzigo leo. Hawa Makocha sometimes mizinguo.Kibu kacheza vizuri sana leo. Hii sub itatuabisha sasa hivi
Naikumbuka sana hiyo match. Rigobert Song alishusha CV yake sana.Ndiyo maana miye kwenye mashindano ya Afrika,Huwa sishabiikii timu za chini ya Jangwa la Sahara
Miye siku zote hushangilia za Waarabu
Nakumbuka Kuna gemu moja ya Afcon kama sikosei ilikuwa fainali kati ya Misri na Kameruni,nakumbuka ni kiipindi nipo A-Level Lindi Sekondari kati ya 206-2008
Nakumbuka shule nzima pale bwaloni tuliokuwa tunashbiikia timu za Waarabu tuliokuwa Mimi na shombeshombe mmoja hivi wa kiaarbu
Masela Kwa asira walipanga kumwagia magodoro yetu maji iwapo Kameruni wangeshinda Ile fainali
Aaahahahaah
Nakumbuka dakika za lala salama Kuna boya mmoja anaitwa Robert Song alichomesha yeye akiwa pekee yake na kipa wake ndipo mchezaji wa Misri akaenda akafunga goli rahisi kama like la Gerrard alilompa Drogba Ili Man Utd tusichukue kombe dah
YesKwa kifupi sijaelewa kabisa. Saidoo ndio mzigo leo. Hawa Makocha sometimes mizinguo.
Anafanya makosa ya kijinga. Na Raja wanamfata kama vile wamemjua.Babu kwishaaa, Simba wamchukue Bacca wa Yanga.
TAKUKURU wamchunguze ONYANGOOnyango ameshatoa assist tena huko. Duh!
Ni kweli ndugu ila kuna makosa mengine yanatokea kwa uzembe sana. Hebu angalia penalt aliyosabisha Onyango. Makosa ni yale yale yani.Basi inatosha, tuwashukuru wachezaji wetu, hatua hii wametufikisha hawa hawa
Mechi ya yatu hii anasababisha penatiKila siku nasema hapa, Onyango ana ubeki wa kizamani sana yaani modern football inamkataa kabisa.
Huyu ni wa kimtafutia bek mwingine wa kati kisha anakula benchi bila kumuonea aibu.
Mjunga sana huyu.
Kuanzia hapo Mimi na timu za chini ya Jangwa la Sahara ikawa baibaiNaikumbuka sana hiyo match. Rigobert Song alishusha CV yake sana.
Onyango huyu huyu ndiye aliyecheza tuliposhinda 7-0 dhidi ya Horoya. Tusiwe wasahaulifu, tuangalie na mechi yenyeweOnyango 2
Naona kama zaidi. Mungiki amezingua Sana.Mechi ya yatu hii anasababisha penati