Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Raja 1 Simba 1. Magoli ya Onyago hatuhesabu, hayo ni yake.Aahaahaah
Nyie Wana Simba angalieni msivunje rekodi ya yetu ya goli sita,naona mnatuonea wivu Wana yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raja 1 Simba 1. Magoli ya Onyago hatuhesabu, hayo ni yake.Aahaahaah
Nyie Wana Simba angalieni msivunje rekodi ya yetu ya goli sita,naona mnatuonea wivu Wana yanga
Edibily Jonas Lunyamila moja kati ya mawinga hatari sana kuwahi kutoka kwenye soka la Tanzania.Tena Huyu kama Shabalala wana tabia za kugeuka nyuma ili kupiga back pass, wanaboa sana. Left footer wa ukweli ni Edibily Jonas Lunyamila, Alphonce Modest na Kenneth Pius Mkapa. Wengine wote majanga.
3 - 1Usiku wa deni umefika... Nasema wapate kinachowastahili. Kila la kheri Raja
AiseeSame mistake yataka ijirudie. Kwa kifupi akili za watu weupe karibia wote huwa hawakati tamaa kwenye jambo lolote lile. Ndo maana unaweza kuona mpira unataka kutoka ila wanauwahi. Negro mnakata tamaa haraka sana.
Tunazika huko hukoTunasafirisha ama?
Kafanyaje mtu mbad!?Bocco mtu mbad!
Zinaweza fika. Man U aliwahi fungwa 6-1 na Man City mpaka dk ya 88 Man City alikuwa na 3.Yenu haiwezi kuvunjwa, muda umeshaisha. Kumbuka ilikuwa 6-0
AaahaaaahRaja 1 Simba 1. Magoli ya Onyago hatuhesabu, hayo ni yake.
Kenneth Mkapa kwangu ni beki tatu bora kabisa kwa Tanzania kwangu niliyemshuhudia.Edibily Jonas Lunyamila moja kati ya mawinga hatari sana kuwahi kutoka kwenye soka la Tanzania.
Si rahisi kihivyoZinaweza fika. Man U aliwahi fungwa 6-1 na Man City mpaka dk ya 88 Man City alikuwa na 3.
Ken Mkapa💪Kenneth Mkapa kwangu ni beki tatu bora kabisa kwa Tanzania kwangu niliyemshuhudia.
Nakazia hapo hapoZinaweza fika. Man U aliwahi fungwa 6-1 na Man City mpaka dk ya 88 Man City alikuwa na 3.
Lakini alicheza kijinga sana mechi dhidi ya Raja ile ya 6-0Kenneth Mkapa kwangu ni beki tatu bora kabisa kwa Tanzania kwangu niliyemshuhudia.