FT: CAF Champions League | Raja Casablanca 3-1 Simba S.C | Stade Muhammed V | 01.04.2023

FT: CAF Champions League | Raja Casablanca 3-1 Simba S.C | Stade Muhammed V | 01.04.2023

Edibily Jonas Lunyamila moja kati ya mawinga hatari sana kuwahi kutoka kwenye soka la Tanzania.
Alikuwa mjinga sana kurubuniwa kuendelea kucheza Yanga wakati alipata timu Ujerumani. Sasa yupo anahaha tu mtaani. Mbaya zaidi hawana elimu hawakujiongeza kama akina Mayay, Aron Nyanda, Pawasa nk
 
Back
Top Bottom