Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hamia dstv achana na takatakaHivi hawa TV3 wanajielewa kweli?.
Wanapiga stori hawatak kutupeleka uwanjaniHivi hawa TV3 wanajielewa kweli?.
Mimi jobless namiliki startimes siwezi mudu DSTVDSTV 225 una enjoy mzee
Halafu akishambuliwa mitandaoni huwa anahamaki kama mwehu huyo mungikiOnyango anawaza maandamano
Dharau kwann? Mbona wanacheza vzr tu?Dharau za Raja zimekula kwao
Hakuna press release ya Simba kuclarify Hilo!?Leo Simba makipa wawili wako benchi, nimewaza ni kwa nini
Nilidhani wanataka kuleta mchezo wamsub kipa #3Hakuna press release ya Simba kuclarify Hilo!?
Nahisi mtu Huwa anakuwa tayari kesha jiamulia kabla kuwa nitashindwaSame mistake yataka ijirudie. Kwa kifupi akili za watu weupe karibia wote huwa hawakati tamaa kwenye jambo lolote lile. Ndo maana unaweza kuona mpira unataka kutoka ila wanauwahi. Negro mnakata tamaa haraka sana.
Tuwe na subra mkuu,acha boli litembeeNilidhani wanataka kuleta mchezo wamsub kipa #3
hivi we mtani a.k.a said chura uliwaza nini kutumia hiyo signature?Makolo twende kazi
Piga hao waarabu koko
na kocha wa Stars atamuita huyuKibu Denga Yuko vizuri atatupia
Cheap products lazima zikutese tuhamia dstv achana na takataka