AaaahaaHii mechi niliweza kuitabiri matokeo kama haya.
Ni kama friend match tu ambayo hupati chochote na wala hupotezi chochote zaidi ya sifa tu
Na Simba haipendi sifa
Hujui kisa cha mechi za Waarabu zinazochezwa kwenye ardhi ya Waarabu kupangwa muda huo?Nani kakwambia Wamoroco wanafunga?
Hii mechi niliweza kuitabiri matokeo kama haya.
Ni kama friend match tu ambayo hupati chochote na wala hupotezi chochote zaidi ya sifa tu
Na Simba haipendi sifa
Nchi kama Nigeria na Cameroon niliacha kutegemea maajabu kutoka kwao kwenye mashindano kama World Cup. Ni nchi zenye watu wa hovyo. Niliwahi kuwatukana sana wanigeria mwaka fulani 🤣😂🤣Ndiyo nikaconclude mtu mweusi Bado ana wajibu wa kupambana kama weupe na waasia
Siku zote nawaambia Yanga, acheni uoga. Kwa nini uchague timu ya kucheza nayo? Unapoingia Champions League uwe tayari kucheza na timu yoyote itakayoletwa, haya mambo ya kusema sijui Mamelodi, huku Simba hayapo, ogopeni huko hukoTusubiri mpangwe na Mamelodi
Miye nilipooana kufungwa wanafungwa na mikeka yangu wananichania,nikawablacklistNchi kama Nigeria na Cameroon niliacha kutegemea maajabu kutoka kwao kwenye mashindano kama World Cup. Ni nchi zenye watu wa hovyo. Niliwahi kuwatukana sana wanigeria mwaka fulani 🤣😂🤣
Wanauheshimu tu huo mwezi ila hakuna wafungaji kule, waspanish wale dini kwao ni utamaduni tu wala si ibada.Hujui kisa cha mechi za Waarabu zinazochezwa kwenye ardhi ya Waarabu kupangwa muda huo?
Karibu kesho uje uone tunavuowachezesha TP Mazembe kiwazenza na shamukwaleSiku zote nawaambia Yanga, acheni uoga. Kwa nini uchague timu ya kucheza nayo? Unapoingia Champions League uwe tayari kucheza na timu yoyote itakayoletwa, haya mambo ya kusema sijui Mamelodi, huku Simba hayapo, ogopeni huko huko
Simba nyauuuuuuuRaja wanauliza simba Who?
AaaahàaaaaAsanteni Raja kwa kutuumizia mchezaji wetu na kumuhonga refa kwenye mechi ya kirafiki. Katunyima goli na kawanyima nyie kadi kadhaa.
Mkuu Kuna zile tatu za hapa ghettoni na za Leo kule lodge jumla yake sita huko tatu na kule tatu jumla yake sitaWatu wengi walitegemea labda simba ingefungwa goli nyingiiiiiiiii. Sio mby sn 3 tu aah za kawaida sn. La muhimu ni tupo robo fainali
ChepechepeeeeeWameloa, wameloa, wamenyeshewa na mvua 💧💧💧
Techically ni 3-2, na Onyango asingecheza huku anawaza kuandamana matokeo yangekuwa 2-1 ushindi kwa Simba.Watu wengi walitegemea labda simba ingefungwa goli nyingiiiiiiiii. Sio mby sn 3 tu aah za kawaida sn. La muhimu ni tupo robo fainali