FT: CAF Champions League | Raja Casablanca 3-1 Simba S.C | Stade Muhammed V | 01.04.2023

FT: CAF Champions League | Raja Casablanca 3-1 Simba S.C | Stade Muhammed V | 01.04.2023

Hii mechi niliweza kuitabiri matokeo kama haya.

Ni kama friend match tu ambayo hupati chochote na wala hupotezi chochote zaidi ya sifa tu

Na Simba haipendi sifa

Ata ya Kwanza mkapa ilikuaa hamtaki sifa ty
 
Tusubiri mpangwe na Mamelodi
Siku zote nawaambia Yanga, acheni uoga. Kwa nini uchague timu ya kucheza nayo? Unapoingia Champions League uwe tayari kucheza na timu yoyote itakayoletwa, haya mambo ya kusema sijui Mamelodi, huku Simba hayapo, ogopeni huko huko
 
Nchi kama Nigeria na Cameroon niliacha kutegemea maajabu kutoka kwao kwenye mashindano kama World Cup. Ni nchi zenye watu wa hovyo. Niliwahi kuwatukana sana wanigeria mwaka fulani 🤣😂🤣
Miye nilipooana kufungwa wanafungwa na mikeka yangu wananichania,nikawablacklist

Timu pekee ya weusi iliyo serious na mpira na Hela za mkamalia ni Senegal
 
Asanteni Raja kwa kutuumizia mchezaji wetu na kumuhonga refa kwenye mechi ya kirafiki. Katunyima goli na kawanyima nyie kadi kadhaa.
 
Siku zote nawaambia Yanga, acheni uoga. Kwa nini uchague timu ya kucheza nayo? Unapoingia Champions League uwe tayari kucheza na timu yoyote itakayoletwa, haya mambo ya kusema sijui Mamelodi, huku Simba hayapo, ogopeni huko huko
Karibu kesho uje uone tunavuowachezesha TP Mazembe kiwazenza na shamukwale
 
Back
Top Bottom