FT: CAF Champions League | Raja Casablanca 3-1 Simba S.C | Stade Muhammed V | 01.04.2023

Nawakumbusha utopolowizadi, Raja haina cha kupoteza, Pia Simba haina la kupoteza pia. Raja hawatokuwa sirizi sana, Kocha anaweza kupumzisha wachezaji mhimu kwa ajili ya kuepuka majeruhi.
NB: Game ni kwa ajili ya kukamilsha ratiba tu.
Usiwapangie watu jinsi ya kutumia fedha zao
 
Mechi ya kuchezesha kikosi B hii haina mvuto japo ni mbaya sana Kwa Simba, kwasababu wale ambao hawapati nafasi,leo wanataka kuprove Kwa kocha kwamba wanaweza.....tukiamka na week au mkono tusishtuke tufurahi kwasababu timu zote zimefuzu.

Guvu moya 😀
 
Hili suala la Uarabu limetoka wapi? Ebu tuache ukaburu wajameni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…