FT: CAF Champions League | Raja Casablanca 3-1 Simba S.C | Stade Muhammed V | 01.04.2023

Kuna watu wanauona huu Uzi mchungu kama nyongo[emoji1][emoji1][emoji1].
Raja Piga Hawa mbwa wa kariakoo goli kuanzia 6 na kuendelea
Baadae waliodhani wenzao wanauona mchungu, wao ndio watauona mchungu
 
Simba 7 -raja 0 Kama kawa.😂
 
Mechi ya leo ni muhimu sana kujipima sababu wote waliopita robo nafasi za kwanza wanafanana uwezo na huyu. Kila la heri Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…