chichiboy1
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 1,371
- 1,856
Yumona kocha wa Stars atamuita huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yumona kocha wa Stars atamuita huyu
Yes, na hiyo ipo hadi kwenye maisha ya kawaida.Nahisi mtu Huwa anakuwa tayari kesha jiamulia kabla kuwa nitashindwa
Huyo jamaa amegeuka kuwa muua moves nyingi kwa Simba Sc sikuhizi, kwanza hawezi kutoa pasi mpaka abanwe kabisa lakini pia yeye anawaza kufunga tu hata kama nafasi haimpi ruhusa.Saidoo anashida gani huyu!
Sijui hawazi hiloChama bro punguza sifa. Kupoteza mpira kizembe unapocheza na waarabu gharama yake kubwa sana.
Anatusema sana walimu Kwa mabaya tu,hata kama tun changamoto zetu sisi kama wataalamu Serikali,ila moyoni siye ni binadamu kama yeye,hivi we mtani a.k.a said chura uliwaza nini kutumia hiyo signature?
au ndio kupenda ugomvi na mwananzengo aliyetamani kuvaa za mpasuo?
haahaaaahaaaa
Full trained from kindergarten hawaJamaa wako vizuri kwenye pasi mpenyezo. Unaona pasi haina muelekeo kumbe ina mtu wake inamfuata
kumbe upo?Babu Onyango usingizi umemzidia
Kila siku nasema hapa, Onyango ana ubeki wa kizamani sana yaani modern football inamkataa kabisa.Onyango asirudi Dar tusije laumiana tu