Robertinho ndio alisuka timu na anajua kucheza kwa mbinu! Ndio maana waliokuwa wanamtukana kocha wa Simba wanaojua walibaki kushangaa! He is master of the game!Huenda walibahatisha kumfunga Tp Mazembe.
Vipers usishaangae kumfunga Yanga ila kumbuka ndio iliyomtoa Tp Mazembe kwenye klabu bingwa. Kilichowaponza ni kitendo cha kukubali kuanza na upya wakati tayari walishajenga team. Wameuza uza wachezaji wao muhimu na pia kocha aliyeijenga timu wakaachana nao. Unategemea miujiza itawabeba?
Mashabiki wa Simba nawashauri msiongee mkamaliza huu ni mpira wa miguu na izo timu zote bado hamjakutana nazo. Muwe na heshma Kwa mpinzani ambaye bado hamjacheza naye.Huenda walibahatisha kumfunga Tp Mazembe.
raja walimmiminia yanga rojo ya 6-0 mwaka 1998Robertinho ndio alisuka timu na anajua kucheza kwa mbinu! Ndio maana waliokuwa wanamtukana kocha wa Simba wanaojua walibaki kushangaa! He is master of the game!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Raja waliwahi mmiminia yanga dumb 6-0 mwaka 1998Mziki wa raja casablanca mnene sana.
Vipers anaanzia wapi kumkazia mwarabu kwake
raja walimmiminia yanga rojo ya 6-0 mwaka 1998
Utarogwakumbukizi mara ya mwisho Vipers walipokuja bongo kucheza na Yanga matokeo yalikua hivi👇
View attachment 2513092
Waulize YangaVipers wepesi
tusiwacheke vipers... yanga alimiminiwa 6-0 hapo mwaka 1998Huyu Vipers anaweza akawa ndio kibonde wa kundi la Simba.
Anacheza na Raja Casablanca tayari kashalambwa 2-0 na game ndio kwanza mbichi...
kumbukizi mara ya mwisho Vipers walipokuja bongo kucheza na Yanga matokeo yalikua hivi👇
View attachment 2513092
NakubaliRobertinho ndio alisuka timu na anajua kucheza kwa mbinu! Ndio maana waliokuwa wanamtukana kocha wa Simba wanaojua walibaki kushangaa! He is master of the game!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
sio washamba.. bingwa wa historia yanga alilambwa 6-0 hapo mwaka 1998Timu ya washamba sijui huyu goli keeper walimtoa wapi?
Ngoja tuone kipindi cha pili watakuja na jipya ganiWanapigwa kama dufu mpaka aibu,wakandwe tu maana wangekaza game na Raja ingekuja kuwa ngumu maradufu kwa mkapa.
5+ Itakuwa nafuu... yanga walikunywa 6-0 (1998)Watalambwa goli 5+